Jaman nimekosea wap??

bwii

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Posts
1,429
Reaction score
2,669
"...binafsi ninaomba radhi sana! Kwani sina pakushika wala pa kuanzia kimaisha... Natoka familia duni yenye UMASIKINI usio elezeka.. Hata hela ya kupika pilau mimi sina jamani leo sikukuu

...nime kosa mimi! Nimekosa Mimi nimekosea sana.." nawaombeni pilau jamani nimekosea mimi

NAWATAKIENI PASAKA NJEMA-NI MIMI DR. RUTENGWE
 
Ww demu au kama demu njooo takula birian kabisa mm ntalipia kila kitu
 
Huyu Dr kashajadiliwa sana. Its enough. Tufanye mengine sasa
 
huku jf umefikaje mkuu uza cm hiyo au PC yako ukapike pilau bro
 
Umekosa kutamani pilau bila ya kulifanyia mkakati madhubuti wa kulipata.

Ama lipotezee lisikusumbue, ama kama unalitaka sana lifanyie mkakati ulipate.

Hao waliolipata hawakuzaliwa nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…