Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka majibu yote ya FBP hapa itarahisisha interpretation.There are many causes of Leucopenia(low WBC count) such as drug induced, HIV infection, Typhoid na nyingine nyingi tu.. uki-google unaweza uka-match dalili ulizonazo na majibu yako.Jaman naomben msaada wa ushauri,tiba, dawa, au chakula na nk
maana vipimo vya mara mwsho tar 12/04/013
ilionesha
WBC 2.5 _abnomal
kawaida inatakiwa kuanzia 4.0 hadi 11.0 _nomal
msaada unahitajika!
Nawasilisha pia!!!
Fuata ushauri waliokupatia hapo ulipopima, maana ndio wanafahamu kilichosababisha upungufu huo. Au wewe sema chanzo chake ili tuweze kumimina fani zetu.
Weka majibu yote ya FBP hapa itarahisisha interpretation.There are many causes of Leucopenia(low WBC count) such as drug induced, HIV infection, Typhoid na nyingine nyingi tu.. uki-google unaweza uka-match dalili ulizonazo na majibu yako.
A well-balanced diet is key in white blood cell production.
Vitamin E aids in the production of B-cells, white blood cells which hunt for and destroy germs and cancer cells. Nuts, seeds and vegetable oils contain large quantities of vitamin E; leafy greens are also a good source. Eat foods like almonds, sunflower seeds, peanut butter, spinach and broccoli to get more vitamin E.
Protein contains amino acids, which are the building blocks of white blood cells. Without adequate amounts of protein, the body cannot produce enough white blood cells to fight off antigens. High quantities of protein are found in lean meats, such as seafood, fish, and skinless poultry. Eggs, beans, lentils and soy are also good sources of protein.
Fatty fish, including tuna and salmon, and flax oil are rich in omega-3 fatty acids. Omega-3's are a beneficial kind of fat that boost the immune system by increase the germ-eating activity of white blood cells. Flax oil can be added to fruit smoothies.
Dark meat and shellfish are high in zinc. Zinc helps the body produce more white blood cells and makes existing white blood cells more aggressive. Foods like dark turkey meat, beef, oysters and crab contain high amounts of zinc. You can also get zinc from beans and fortified cereals.Nakushukuru sana mzee mzizi mkavu, pia nashukuru kwa ajili ya jukwaa hili la Jf kwani limekuwa ni mahali pa KUFAIDIANA, ombi langu kwako mkuu ni kuhusu aina ya dawa, matunda na vyakula unavyokuwa unatuelekeza kutumia kwa ajili ya afya zetu, ninaomba unapoyataja kwa 'kidhungu' utupatie na tafsiri ya kiswahili, Asante na Mungu akubariki sana
Kama kweli ulienda tu kupima afya na ukakutwa majibu ni hayo napenda kukupa hongera sana maana ni Wa Tanzania wachache tunawaza kwenda pima.ila bado nina imani kama ulikutana na Doctor lazima alikushauri upime na vitu vingine zaidi ya hiyo FBP...je umekuwa na mafua ya muda mrefu ambayo huwa unakuwa nayo kila ukipima??je Una tatizo lolote la muda mrefu la kiafya ambalo hujalisema?
Kama uko fit kabisa nashauri urudi tena kwa Dr mshauriane zaidi maana hapa JF siri za ugonjwa zingine si vyema zikazungumziwa.....
Ila ili uwe na Amani nenda upate ushauri nasaha upime na HIV maana hili kwa hapa kwetu kama uko fit ndilo linaweza kuwa la kwanza kulifiria.So ili watu wafikirie kitu kingine zaidi fanyia kazi hili.
wakuu mwanzo kabisa nilipima Fbp hizi zote Wbc,Plt na Rbc zilikuwa abnomal
nikatumia dawa zinaitwa Neuroton, Rbc na Plt zikawa nomal nikapma tena zilipanda lkn Wbc inachezea hapo 2.5
nikaandikiwa dawa zingine sizikumbuki jina ni 2.5 tu!
kusema eti chanzo nini sielewi coz nilitaka kufanya checkup tu ndo nikafikia huko! dr alinimbia natakiwa kuwa Wbc 4.5 au zaidi
so nikaona nijaribu na mbadala
hapa jf!
O.k Mkuu, inaweza kukutia shaka, lakini ni jambo la kawaida, zingatia kula mlo kamili (Balanced diet) zitapanda. Kama upungufu huo haujatokana na ugonjwa sio lazima kutumia dawa ili kuziongezea.
check here to get the products to increase your white cell count Natural Health and Beauty
Jaman naomben msaada wa ushauri,tiba, dawa, au chakula na nk
maana vipimo vya mara mwsho tar 12/04/013
ilionesha
WBC 2.5 _abnomal
kawaida inatakiwa kuanzia 4.0 hadi 11.0 _nomal
msaada unahitajika!
Nawasilisha pia!!!
mkuu nashukuru kwa ushauri wako
labda niseme kitu kwa matokeo hayo ya Fbp ya mwanzo kabisa hapo juu Dr wangu (na ma Dr wengine watakubaliana na mimi)alisema kuwa viwango vya b.cells
kuwa chini kukosi kuwa na mafua ya mara kwa mara
maumivu ya kichwa
wakat mwingne kizunguzung n.k
magonja yanakuwa hayakuachi coz kinga ya mwili inakuwa chin!!
lkn kwangu ni tofaut nina mda mrefu nilichange aina ya vyakula na vinywaji kifup malaria siyajui
kwa miaka kadhaa, nimeumwa sana mafua ni leo kesho mzima
hii inatokana na miaka kadha iliypta
niliwahi tumia juice ya machungwa 150 kwa siku 10 au
malimao 120 kwa siku 10 kama kinga na tiba mwilini hii inatakiwa utumie mara 1 au 2 kwa mwaka ( na hapa mimi na wewe tukikaa eneo lenye mbu iwe usiku au jion wanakung'ata wew tu! Lkn kwa hili sijui ni hiyo juice damu ya mtu no uhakika)
so far
matatzo nilikuwa nayo ni maumivu kama ya mchoko kwenye kifua hadi mgongon kwa ndan na fizi kutoa damu mara kwa mara ambapo sasa hivi ni tofauti (maumivu kama jana ndo umeanza mazoez kwa mda mrefu hukufanya)
kwa kiac fulani sjui kama nimeeleweka?
O.k Mkuu, inaweza kukutia shaka, lakini ni jambo la kawaida, zingatia kula mlo kamili (Balanced diet) zitapanda. Kama upungufu huo haujatokana na ugonjwa sio lazima kutumia dawa ili kuziongezea.
mkuu unaweza kunisaidia kuipnda blnce diet kwa siku 7 yaani wk 1
mf j3 asbh mchana na jion
j4 asbh mchana na jion
nk???
Mkuu gody
Pamoja na majibu michango mizuri ya wanajamvi, kwa tatizo lako, napendekeza utumie VIRUTUBISHO VIFUATAVYO: [red=color]SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL NA RED YEAST COFFEE.[/color]
[red=color]1.Splina Liquid Chlorophyll[/color]
Imetengenezwa kutokana na mmea wa Mulberry unaotambulika kama chanzo bora cha Chlorophyll.
Mlo kamili (Balanced Diet) wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya. - Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.
Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)
Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali
Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.
Vyakula vya Alkali: