Johan urasa
New Member
- Apr 18, 2011
- 3
- 1
ndio ukome,kufanya mapenzi bila condom,bora mtoto utalea ukimwi je?:alien::rant:
Sasa wewe unaogopa mimba halafu unaenda ng'adu? Mzunguko wa cku 26 hadi 30 ndiyo kawaida. Tena hiyo cku ya 23 ndo anatoka dume, kwa kawaida manii zinaishi kuanzia masaa 7 hadi 72 kwenye tumbo la mwanamke. Sasa wewe biga hesabu, hiyo mimba itakua yako dogo kama huyo dada alikua hajakutana na mwanaume mwingine siku mbili kabla. Kawaida unatakiwa usiende ng'adu au kavu siku 7 kabla ya hedi ya mwanamke sasa wewe ukafurahia utamu wa dakika moja, umejiingiza mwenyewe. Lea mimba dogo, usilete ubishi. Ukiendelea kuleta ubishi toto litatoka limefanana na wewe hadi uone aibu!
Jamaa anataka kukwepa majukumu.....Sasa wewe unaogopa mimba halafu unaenda ng'adu? Mzunguko wa cku 26 hadi 30 ndiyo kawaida. Tena hiyo cku ya 23 ndo anatoka dume, kwa kawaida manii zinaishi kuanzia masaa 7 hadi 72 kwenye tumbo la mwanamke. Sasa wewe biga hesabu, hiyo mimba itakua yako dogo kama huyo dada alikua hajakutana na mwanaume mwingine siku mbili kabla. Kawaida unatakiwa usiende ng'adu au kavu siku 7 kabla ya hedi ya mwanamke sasa wewe ukafurahia utamu wa dakika moja, umejiingiza mwenyewe. Lea mimba dogo, usilete ubishi. Ukiendelea kuleta ubishi toto litatoka limefanana na wewe hadi uone aibu!
Mmh! Kama ni hivyo basi bora nikamtoe maana mimi sipo tayari kwenda jela
ni mwanafunz huyo si nitafungwa mie!
Mmh! Kama ni hivyo basi bora nikamtoe maana mimi sipo tayari kwenda jela
ni mwanafunz huyo si nitafungwa mie!