Jina langu lipo tena nimekosa chuo yl nimefaulu vzur tu inabid niapply 3rd round nimechanganyikiwa na kila nikichek web yao naambia couldnt locate server siku zinaenda tu naombe msaada wenu jinsi ya kuapply tena
Jaribu Veta unaweza kufanikiwa!
Wana haki ya kukuacha. "yl" ndio nini..!?Jina langu lipo tena nimekosa chuo yl nimefaulu vzur tu inabid niapply 3rd round nimechanganyikiwa na kila nikichek web yao naambia couldnt locate server siku zinaenda tu naombe msaada wenu jinsi ya kuapply tena
Jina langu lipo tena nimekosa chuo yl nimefaulu vzur tu inabid niapply 3rd round nimechanganyikiwa na kila nikichek web yao naambia couldnt locate server siku zinaenda tu naombe msaada wenu jinsi ya kuapply tena
Jaribu Veta unaweza kufanikiwa!
'yl' = whileWana haki ya kukuacha. "yl" ndio nini..!?
Wana haki ya kukuacha. "yl" ndio nini..!?
Jina langu lipo tena nimekosa chuo wakati nimefaulu vizuri tu inabidi niapply 3rd round nimechanganyikiwa na kila nikichek web yao naambia couldnt locate server siku zinaenda tu naombe msaada wenu jinsi ya kuapply tena.
wewe ndo wale wanaosema MTOTO WA JIRANI MWOMBEE NJAA?
ze duduz huyo dogo umemsaidia?mi nimelog in kwenye acount yake,hajanipa code au anataka nimjazie kozi gani,kozi zipo nyingi tu kwa ufaulu wake.namba yake ya simu hapatkan