Jaman nsaidien na huyu mtoto

Jaman nsaidien na huyu mtoto

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
253
Reaction score
52
Nina mdg wng,yupo form three now,ila form two alipata wastan wa f,asa now si wajua hata ukipata f form three waenda tuu?then anasoma shule za kata,daftar zake nyingi hazjafka katkat kwa kuandika notes,pia ni mtundu sn,now anajifanya msanii wa bongo flavor,nfanyaje nae jaman?mana nahisi form four atachemka tuu
 
nmeshindwa kukupa msaada kwa sababu hiyo lugha ya maandishi sijaielewa hata kidogo. Kuwa specific if you write in Kiswahili or English.! Can you edit your thread?
 
'Thoughts are powerfull'.
mbona umeanza kumfikiria mabaya hvyo? Mtaftie mwalimu wa tuition awe anamfundisha nyumbani. Mpangie ratiba ambayo itambana asipate muda wa kuzurula ila ratiba utakayompangia mwekee japo nusu saa ya kuendeleza kipaji chake cha kuimba bongo fl.
 
'Thoughts are powerfull'. mbona umeanza kumfikiria mabaya hvyo? Mtaftie mwalimu wa tuition awe anamfundisha nyumbani. Mpangie ratiba ambayo itambana asipate muda wa kuzurula ila ratiba utakayompangia mwekee japo nusu saa ya kuendeleza kipaji chake cha kuimba bongo fl.
asante,lakini mimi nipo nae mbali yeye yupo mbeya mimi arusha nasoma..sasa kumdhibiti kihivyo ntashindwa,nliwaza may be nimpeleke shule ya private boarding kwa kipindi kilicho baki hiki
 
zungumza nae ujue shida yake ni nini hasa na anadhani umsaidieje kutengeneza future yake binafsi. mpe ahadi-sort of, muambie f4 unapata 0 inayoelea kabisaa,that is expected. ila ukiweza kupata walau dv 3,nitakusaidia 1,2,3. ila inabidi umuwie mkali sana manake huo mzigo wako. tough lov inahitajika hapo,mpe masharti.muweke bayana kuwa hutamgharimia kwa maisha yake yote hadi azeeke,inabidi ajiandae kukua sasa
 
asante,lakini mimi nipo nae mbali yeye yupo mbeya mimi arusha nasoma..sasa kumdhibiti kihivyo ntashindwa,nliwaza may be nimpeleke shule ya private boarding kwa kipindi kilicho baki hiki
kwani hao wanaokaa nae hawawezi kuwa makini nae. Boarding ni mbaya zaidi ya unavyofikiria. Kama mtoto unashindwa kumlea mwenyewe ni ngumu mtu mwingine akulelee. Huyo ukimpeleka bd unaweza ukashangaa vitabia vya ajabu ndio vinazidi.
 
dah asante kwa ushauri mkuu,ntaongea nae,itabd asome tution tuu
 
zungumza nae ujue shida yake ni nini hasa na anadhani umsaidieje kutengeneza future yake binafsi. mpe ahadi-sort of, muambie f4 unapata 0 inayoelea kabisaa,that is expected. ila ukiweza kupata walau dv 3,nitakusaidia 1,2,3. ila inabidi umuwie mkali sana manake huo mzigo wako. tough lov inahitajika hapo,mpe masharti.muweke bayana kuwa hutamgharimia kwa maisha yake yote hadi azeeke,inabidi ajiandae kukua sasa
asante kwa ushauri kaka,nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom