oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
asante,lakini mimi nipo nae mbali yeye yupo mbeya mimi arusha nasoma..sasa kumdhibiti kihivyo ntashindwa,nliwaza may be nimpeleke shule ya private boarding kwa kipindi kilicho baki hiki'Thoughts are powerfull'. mbona umeanza kumfikiria mabaya hvyo? Mtaftie mwalimu wa tuition awe anamfundisha nyumbani. Mpangie ratiba ambayo itambana asipate muda wa kuzurula ila ratiba utakayompangia mwekee japo nusu saa ya kuendeleza kipaji chake cha kuimba bongo fl.
kwani hao wanaokaa nae hawawezi kuwa makini nae. Boarding ni mbaya zaidi ya unavyofikiria. Kama mtoto unashindwa kumlea mwenyewe ni ngumu mtu mwingine akulelee. Huyo ukimpeleka bd unaweza ukashangaa vitabia vya ajabu ndio vinazidi.asante,lakini mimi nipo nae mbali yeye yupo mbeya mimi arusha nasoma..sasa kumdhibiti kihivyo ntashindwa,nliwaza may be nimpeleke shule ya private boarding kwa kipindi kilicho baki hiki
dah asante kwa ushauri mkuu,ntaongea nae,itabd asome tution tuukwani hao wanaokaa nae hawawezi kuwa makini nae. Boarding ni mbaya zaidi ya unavyofikiria. Kama mtoto unashindwa kumlea mwenyewe ni ngumu mtu mwingine akulelee. Huyo ukimpeleka bd unaweza ukashangaa vitabia vya ajabu ndio vinazidi.
asante kwa ushauri kaka,nitaufanyia kazizungumza nae ujue shida yake ni nini hasa na anadhani umsaidieje kutengeneza future yake binafsi. mpe ahadi-sort of, muambie f4 unapata 0 inayoelea kabisaa,that is expected. ila ukiweza kupata walau dv 3,nitakusaidia 1,2,3. ila inabidi umuwie mkali sana manake huo mzigo wako. tough lov inahitajika hapo,mpe masharti.muweke bayana kuwa hutamgharimia kwa maisha yake yote hadi azeeke,inabidi ajiandae kukua sasa