raamar
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 252
- 23
jaman Leo nimeenda NMB kutoa vihela vyangu vya matumizi,khaaa Walimu A/c zao cjui zimekuaje hazitoi hela,hata ukiingia ndani mambo Yale Yale,hv nyinyi Serikali mbna hamna uruma na hawa watu waliotusomesha sisi na nyie?,mbna nyinyi A/c zenu hazisumbui?,basi mngetoa taharifa jamani,wahurumieni hawa watu,wengine wametoka mbali huko buselesele,aaaaaah!!
Last edited by a moderator: