jaman unalipa vp ada kama umepata mkopo

jaman unalipa vp ada kama umepata mkopo

28619ed

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
6
Reaction score
0
mfano mm nimepata m3 na laki moja na ada yangu ni laki nane so natakiwakulipa shingap
 
ada ya course,unafield kama una yo just DO THIS
chukua kiasi ulicho pewa toa accmodtion and allowns toa tena nafield toa tena na statnrs and books kiasi kitakacho baki ni ada walio kulipia kwa hiyo chukua ada toa na kiasi kilicho bakia utajua unalipia kiasi gan.THANKS
 
Back
Top Bottom