Siku zote mpapai hauwezi kuhimili mikikimikiki ya kimbunga, uongozi wa CWT umechakachuliwa waliopo wote ni mamluki, hawapo kwa ajili ya maslahi ya walimu bali kwa kuwadidimiza hawa walimu, ili walimu wafanikishe migomo yao wagome kikanda au kishule hapo kutakuwa na mgomo wa kweli zaidi ya hapo hakuna........"HAIBA BILA PESA NI MZIGO" Lakini walimu wamekuwa Punda wa selikari kila baya tupia kwao, nyumba mbovu, vitendea kazi hakuna, mishahara duni, makato mengi, mazingira mabovu ya kazi.........aaah inasikitishaaaa