jaman wana aru first year inawahusu hapa

Tuliza mzuka kijana,endelea na registration yako,mda ukifka utapewa ratiba
 
ratiba yetu tuliyopewa watu wa SCEM tumeanza kusoma leo bt kesho sikuku ya eid , so alhamis tunaendelea...! Ratiba za school/fuculty zote zimetoka so ni wewe tuu...!
 
Duh!!
Majirani, nyinyi ni noma...
Hamulazi damu..
 
ratiba yetu tuliyopewa watu wa SCEM tumeanza kusoma leo bt kesho sikuku ya eid , so alhamis tunaendelea...! Ratiba za school/fuculty zote zimetoka so ni wewe tuu...!

Nafuu jukwaa limetulia wewe mbupu ulikuwa na kelele sana mara nyooo ycu nyooo loanboard wamekupa 83% kimya tu sasa....unapiga zako nyeto savei pulaza kwa raha zako......overrrrrrrrrr
 
Naomba niulize,masomo yanaanza rasmi lini?

Kaulize chuo we lafa nini.........biatttchhhhhhh......au unaogopa madem wazur wa pale aruj....nyooooooooo....dume zima unasoma environmental.....biatatttatattatattttcchchhh....overrrrrr
 
Hizi ni tabia za msomi mshamba, mtu kama huyu alipaswa awe chizi....

Hahhahahha unatafuta kiki ya kumuomba hela darius......nyooooooo utajibeba mwaka huu.......overrrrrrr

Hii inaonesha jinsi gani umasikini unaweza kutafuna ubongo wa msomi...
Mwambao wa pwani na uswahili wa tiptop, unasababisho dume zima litamke bila hofu "nyooo utajibeba mwaka huu"

Nafuu jukwaa limetulia wewe mbupu ulikuwa na kelele sana mara nyooo ycu nyooo loanboard wamekupa 83% kimya tu sasa....unapiga zako nyeto savei pulaza kwa raha zako......overrrrrrrrrr

Ukiona mtoto wa kiume anatumia hizi nyooo!! Nyooo!! Ni ishara za michezo ya makongo...kupakuliwa kichuri
 
kajisugue mnduku toka hapa!!!!!!
 
hahahaha genius10 mm HESLB wamenipa 98% na hostel nimepangwa main campus room namba (4...?) so kaz kwangu kusoma.! Kuhusu punyeto survey plaza cjui labda ww ndo michezo yako.! By the way karibu ardhi university @ungenius10.!overrrr
 
Last edited by a moderator:

Mdogo wangu kumbe umepangiwa hio floor ya chini kwenye dabo deka?mimi nimeambiwa nimepata rum hapo ila ndio nareport leo lakini namuomba mungu wasinipangie hio floor ya chini..
 
Hizo floor za chini zinaongoza kwa kuibiwa mkuu. Kuweni makin.
 
Mdogo wangu kumbe umepangiwa hio floor ya chini kwenye dabo deka?mimi nimeambiwa nimepata rum hapo ila ndio nareport leo lakini namuomba mungu wasinipangie hio floor ya chini..

dgo me nipo rum ya juu..! Namba arobain na kadhaaa.! Xo kama ttnataka kujua heb ni-pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…