Nina mtoto wa kike ana miaka karibia mitatu sasa,tatizo lake kubwa ni mifupa yake haina nguvu kabisa!miguu kama inapinda kwa ndan!vidole vya mikono ukivinyoosha analia sana,magoti kama yamevimba !cha ajabu wiki iliyopita hadi shingo kuna wakati inakaza anashindwa kuwa flexible kabisa ! hata kutembea kwa dakika tano tu amechoka sana viungo vinakuwa vimelegea kabisa !naomben ushauri jaman