jaman watu wameitwa kazin kada zote!!!!

jaman watu wameitwa kazin kada zote!!!!

Carla

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
398
Reaction score
331
wapendwa wangu nimejaribu kuangalia majina ya walioitwa kazini cijaona majina ya maafisa watendaji wa kata wala kijiji je kuna mwenye idea yoyote anipe ufafanuzi ndugu zangu
 
Hizo nafasi ulizozitaja bado mdau!
Nimepata tetesi kwamba watafanya Placement wiki ijayo hivyo endelea kuvuta subira.
 
Hizo post nyingine bado tuvute subira mi mwenyewe nasikilizia hizo hizo hope soon tutahusika
 
wapendwa wangu nimejaribu kuangalia majina ya walioitwa kazini cijaona majina ya maafisa watendaji wa kata wala kijiji je kuna mwenye idea yoyote anipe ufafanuzi ndugu zangu
uliitwa kwenye inteview?
 
Back
Top Bottom