Jamani am back.....kabinti kangu!!!

Shishi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
1,242
Reaction score
42
Marafiki wangu wote wa JF najua pahala la kuwapata...chumbani humu kwa MMU...nimepotea siku nyingi kiasi.....sio kwa ubaya...jamani KULEA! kabinti kangu kamefikisha miezi sita jana....kazuri kweli!! wacha tu niendelee kulea..... hope nyote muwazima wa afya!
 

Attachments

  • 27052011(010).jpg
    218.4 KB · Views: 295
hongera sana shishi kwa kulea,ndo ukubwa huo!
hebu mkuze huyo binti kwa upendo mkubwa,
huwezi jua anaweza kuwa firstlady wa kamanda wangu!!!!!
 

Kudos Shishi....
 

Hongera zako Shishi...bado tunataka kukusilimisha ili uwe mbongo. Kama uko tayari sema tukutumie forms za usajili haraka sana hahahaha lol!...Kila la heri katika malezi.

YouTube - ‪Whitney Houston - Greatest love of all‬‏
 
hongera sana shishi kwa kulea,ndo ukubwa huo!
hebu mkuze huyo binti kwa upendo mkubwa,
huwezi jua anaweza kuwa firstlady wa kamanda wangu!!!!!

Wabongo utaona tuuu...mnawaza kuoza au kuoa....
 
Missed you Shishi!
Hellow to ya beautiful little one!! Xxx
 
Hongera Shishi...

Yani mmeo ana roho mbaya kweli.... hakukuachia kitu kwenye hiyo sura...kachukua yote...dah!

BTW angalia bado mdogo huyo, usimbemende (Sijui ndo umbea wenyewe huu)
 
Hongera Shishi dear..............Mungu atukuzie ka binti ketu kwa afya njema.
 
Hongera kwa kupata kabinti,kapate maisha marefu na afya njema kwenu nyote.
 
Hongera sana Mungu akujalie uendelee kumlea kwa maadili mema kabisa ya kiafrika
 
Shishi when she's sweet 16 naomba utaniwekea picha yake
 
Hongera sana She's beautiful baby girl.

 

Hongera sana mpenzi na baba yake kwa malezi!..So good to see you back, nilikumisije yani acha tu!!!!
Kisses to your cute little princess..!!
 
Honera sana kwa mtoto mzuri! nakutakia umlee vyema!
 
Mbona unakasifia sana hako kabinti kako? Anyway, beauty is subjective
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…