Jamani anaejua mafuta mazuri ya kuondoa darkspot bila kuchubua ngozi

Jamani anaejua mafuta mazuri ya kuondoa darkspot bila kuchubua ngozi

Ninasumbuliwa na darkspot jamani nimetumia mafuta kibao lkn Bado hali ni ile ile ni nafuta gan mazur ya kutumia . Aina ya ngozi yang ni oily skin
images.jpg
 
Na bado wanakuja wengine,mtajichubua mpaka basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
IMG-20230620-WA0000.jpg
 
Kama una oil skin kuwa makini sana na mafuta utayotumia maana unaweza kupata tatizo mara 2
 
sasa kuna mawili mafuta ya ngozi na kuondoa dark spot. Mafuta tafuta yenye vitamin E na C. Uje unishukuru
 
Back
Top Bottom