Jamani anaejua mafuta mazuri ya kuondoa darkspot bila kuchubua ngozi

Na bado wanakuja wengine,mtajichubua mpaka basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Kama una oil skin kuwa makini sana na mafuta utayotumia maana unaweza kupata tatizo mara 2
 
sasa kuna mawili mafuta ya ngozi na kuondoa dark spot. Mafuta tafuta yenye vitamin E na C. Uje unishukuru
 
Pole sana, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…