jamani! anakataaaaa

jamani! anakataaaaa

mutisya mutambu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
208
Reaction score
82
ni muda mrefu sasa tangu nilipoanza kumwambia tutoke wote,lakini amekuwa akinizungusha zungusha akileta sababu nyingi ambazo mimi najua ni uwongo tu na hakuna lolote,jamani hivi kama mpenzi anakataa kutoka na wewe,ujue nini hapo,halafu ufanye nini eti,nisaidieni jamani nahisi kama kumwacha vile.
 
achana naye! Kunaanayempenda zaidi yako!
 
Kuna mpenz wake anaona akiwaona pamoja maji yatamwagika. Achana nae
 
ni muda mrefu sasa tangu nilipoanza kumwambia tutoke wote,lakini amekuwa akinizungusha zungusha akileta sababu nyingi ambazo mimi najua ni uwongo tu na hakuna lolote,jamani hivi kama mpenzi anakataa kutoka na wewe,ujue nini hapo,halafu ufanye nini eti,nisaidieni jamani nahisi kama kumwacha vile.

Huyo hafai achana nae
 
labda hiyo kutoka kwako unataka kwenda nyumba zetu zile wakati yeye hajawa tayari bado anakuchunguza,fafanua unataka utoke mnaenda wapi?
 
h ahahaaaaaaaaa, mm sina wa kutoka nae, njoo tutoke wote
 
si lazima,ila ni njia mojawapo ya kuonesha upendo na kuwa pamoja,pia yaweza onesha jinsi gani mwenzako
anavyo kkujali kwa wengine,jiulize kwa nini akatae kkuonekana na wewe mkiwa pamoja kitaa,anaogopa nn na nani?
hakika itatia wasiwasi na haileti raha
pia kwa anaejali kama kutoka muda huo hairusu basi aweza propose kitu kingine mbadala na time nyingine atayokuwa
fresh
 
Back
Top Bottom