Zamani huko vijijini ilikua ikitokea umang'atwa nge, unachanjwa, unawekewa kajiwe flan keusi, katanga'ng'ania hapo baada ya muda maumivu yanaisha na jiwe linadondoka. Hii sio hadithi, ni kitu nimeshuhudia kwa kuwekewa. Au ndio hiyo mgadafi unaita jiwe la nyoka?
Umewahi kung'atwa na nge? Akikupiga mguuni maumivu unasikilizia kiunoni, kama kwenye mkono, kwapani. Wengine hali inakua mbaya zaidi hadi kuzirai. Don't under estimate nguvu ya nge mkuu.