Jamani anorld kayanda.......

@ anonymous_007 Juma nature ameshampakua nini??? nature mtoto wa mjini najua, kesha kula wali huo? mbona unani refer kwa nature?

naomba unipe habar yake hapa... nature kala mambo tayari???
 
Kumbe celebrity wa tz ni clouds fm na wafanyakazi wake... Sikujua lolz

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
celebrity kuwa ubwabwa kupakuliwa kama mboga???? au na wewe ndio wale wale?? maubwabwa...tena bokoboko
 
Matusi ya nini wakati hana kosa lolote siyo vema kumtusi mtu wakati hana hatia yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…