Mdau nakushukuru kwa upande mmoja umewasaidia wenye deficity (mapungufu) ya nguvu. Aidha umetusahau akina sie wengine tunahangaika kutafuta dawa how to dicreese the power! Nishahangaika sana walau niwe napiga bao mbili au 3 per day sijafanikiwa na mjeledi ukini'stand hua uko active si chini ya 45 min.
Nihangaike na asali bei aghali wakati kuna kitu ubombo toka tanga, nikishushia na pweza wangu
Hasira zake hadi naigandisha kwenye friji ipoe
Shinya inapatikana nyingi kweli
Acaha na mimi nichomeke hapa hapa, kwa wale wanaohitaji asali original yenye viwango vyote vya ubora wawasiliane na mimi...
Sijakupata!
Come back again, taratibu uelewekeee.
Acaha na mimi nichomeke hapa hapa, kwa wale wanaohitaji asali original yenye viwango vyote vya ubora wawasiliane na mimi...
Acheni kudanganya watu,mambo ya sex yanategemea na strength ya pc muscles,kama zipo weak hata unywe pipa zima la asali mtalimbo utakua doro tu....
Umelipia tangazo?
Haya tayari mimi ni mteja wa kwanza! Nifanyeje?