Jamani asali asali asali eehhh!!

Hahahahha jamani na gym pia inasaidia sana tena sana wakuu,sio asali tu kama upo fit na muscles basi huna haja ya asali....me sijawahi kutumia asali zaidi ya ujuzi na mazoezi na naheshimika vibaya sana,sasa hiyo siku utaacha kutumia asali itakuwaje wakuu tuwe makini kwa kweli
 

Duuuuh! we ni hatari basi.......!
Ushawahi kutumia mkuyati nini siku za nyuma mpaka umekulemaza.......
 
Nilidhani hizi habari za dawa za nguvu za kiume ni mambo ya waganga wa kienyeji tu. Ila sasa naona hata JF yameshika kasi. Je hii ni dalili kuwa tatizo hili ni kubwa sana?
 

...haaahaaaha dah ngoja nifanye kautafiti kengine ka kupunguza nguvu. Hongera bana.
 
INa maana kwenye chai huweki sukari kabisa? Na hiyo ni asali ya kawaidi au ni ipi? Maana sokoni ziko nyingi, madukani pia ziko nyingi sana, sijui ipi ni ipi
ndio maana yake. Suala ni kwamba kama haijali achana na sukari ya kiwandani so ukinywa chai unaweka asali mwanzoni inakuwa ngumu maana radha inakera lakini utazoea na hutatamni kurudia hayo mamtibwa. Asali ni hiyo hiyo unayoijua mkuu.
 
Acaha na mimi nichomeke hapa hapa, kwa wale wanaohitaji asali original yenye viwango vyote vya ubora wawasiliane na mimi...
...nimekupata ambassodor unaweza kupata order ya makonteina na huko uliko ukaamua kuachana nako si unajua ukivuta uzi kwa kijana kwenye kile kiwanda chako mambo safi...dogo imemrusha hiyo ambassodor.
 
Nilidhani hizi habari za dawa za nguvu za kiume ni mambo ya waganga wa kienyeji tu. Ila sasa naona hata JF yameshika kasi. Je hii ni dalili kuwa tatizo hili ni kubwa sana?
...asali ni chakula na dawa inatibu mambo mengi hakuna hata chembe ya side effect (s)...kuliko kumshauri akanunue na kumeza viagra au mpaka akavamie ma-valuer pata asali tu.
 
Piga kitu ubombo, ila kama afya yako mgogoro usijaribu
Unaweza zimia
Wee, utajua kama ni dk 90 au 120 au 120 na penati juu


Ubombo ni nini na kinapatikana wapi? Mlengwa afya haina mgogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…