habari wana jf,
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??
teh teh teh... ashadii bwana acha fujo. sijamla..... napenda utani sana. raha ya bar ni kutaniana na kucheka....mambo ya kukaa kimya unajishindilia mibia unazidi kujipa mapresha. so, binti ni just a friendYaani Hazole bana! Yaaani wewe siku zoote hizi umekula nae raha alafu saizi sababu kataja ndoa katika maongezi ndo unashtuka?? Acha hizo bana... Sio sababu ni Barmaid ukafikiri kua roho yake ni tofauti na mwanamke yeyote wa kawaida... Deep down she is just a woman....
hakuwindi! pengine wewe ndo upo mawindoni ila hujajua kama upo serious unataka kuwinda! si unajua mbwa akimuona chatu huwa anakuwa mpole na anamfuata hadi anamezwa?
Baamed nikama enjinia,mkurugenzi,na vinginevyo kama hivho ila sema ni mgawanyo wa maisha hivyo ukiuoa anaweza akawajibika kama mamawanyumbani kuliko hata ungeoa mkurugenzi.habari wana jf,<br />
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??
Baamed nikama enjinia,mkurugenzi,na vinginevyo kama hivho ila sema ni mgawanyo wa maisha hivyo ukiuoa anaweza akawajibika kama mamawanyumbani kuliko hata ungeoa mkurugenzi.
Kama kweli unampenda na utammwoa basi fanya hima ufanye hivyo, sababu kwanini anafikiri hivyo lazima kuna jambo ulilofanya hadi likapelekea afikilie hivyo..., kama hutaki kufanya hivyo ni bora kumuambia ukweli kuliko kumpotezea muda wake...habari wana jf,
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati anafikiri ninampenda na nitamwoa...
sasa tatizo kila ninapofika bar huwa anakuja kukaa nilipo na mpaka anajisahau kuhudumia wateja wengine....duh nimeshituka,ntamharibia kazi bure. au ananiwinda??
sure. ni kazuri. tunachoogopa ni kwama wanatupiwa sana macho na njemba kibao.....
<brYaani Hazole bana! Yaaani wewe siku zoote hizi umekula nae raha alafu saizi sababu kataja ndoa katika maongezi ndo unashtuka?? Acha hizo bana... Sio sababu ni Barmaid ukafikiri kua roho yake ni tofauti na mwanamke yeyote wa kawaida... Deep down she is just a woman....