Jamani "baby shop"

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Habari ndugu zangu.

Nimevutiwa na biashara ya duka ya kuuza vitu vya watoto tu "baby shop", tatizo langu sijajua faida na hasara yake katika biashara hii, zaidi ni mchanganuo mzima wa jinsi ya kuendesha biashara hii.

Naomba wapendwa mnisaidie kwa uzoefu wenu, wale ambao wanaifanya, waliofanya na walioona biashara hii.

Asanteni wapendwa, nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…