CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
Kilo ya korosho pale airport departure lounge inauzwa karibu Tshs.20000. Kampuni ya Ali Baba ya China inatangaza bei ni dola 10 kwa kilo. Hii ni baada ya kuongeza flavors. 3000 bado tunaibiwaaaaaa!!!!! Hebu jeshi bangueni uzeni wenyewe China mtuambie!!! Ila naona mafioso mbele! Watasusa korosho yetu kutukomoa. Ila tuwe masikini jeuri. Baada ya muda wenye makampuni China watakuja wenyewe! Huu ndio wakati muafaka mawaziri wapya kuonyesha wanaweza! Kaongeeni na makampuni uchina!