CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
Daaah nimekukumbuka sana ndugu yangu, umejificha wapi ??Haya hiyo 20,000/= mbona bado ni rahisi? Mimi huwa nanunua village robo kilo tu 9,000/=!
wapi huko na mimi nikanunueHaya hiyo 20,000/= mbona bado ni rahisi? Mimi huwa nanunua village robo kilo tu 9,000/=!
Msijali mkuu amesema soon kila mwananchi atapewa korosho kilo 2.Wenzio huku tunauziwa kila 25000
hahahhahaaaKuwakomoa wafanyabiashara ni kupiga ngumi ukuta
Daaah nimekukumbuka sana ndugu yangu, umejificha wapi ??
wapi huko na mimi nikanunue
asante mkuuVillage Supermarket tawi la Mbezi Beach.
Cku nyingine ukifika hapo nistue nkuhudumie!!Village Supermarket tawi la Mbezi Beach.
Nilipo tunauziwa elfu 35 kiloWenzio huku tunauziwa kila 25000