S SESEKO Member Joined Aug 4, 2013 Posts 88 Reaction score 4 Sep 28, 2013 #1 mimi nimechaguliwa katika chuo cha usafirishaji/nit ambako katika maombi ya kila kozi waliweka priority mkopo lakini sijui kigezo gani wamekitumia kuninyima mkopo.msaaaada kwa hili wadau wangu.
mimi nimechaguliwa katika chuo cha usafirishaji/nit ambako katika maombi ya kila kozi waliweka priority mkopo lakini sijui kigezo gani wamekitumia kuninyima mkopo.msaaaada kwa hili wadau wangu.
Goodluck Mshana JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 1,272 Reaction score 1,120 Sep 28, 2013 #2 Fanya taratibu za kuandika barua ya kukata rufaa..
kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,571 Reaction score 1,328 Sep 28, 2013 #3 hamna kuandika barua appeal inafanyika online,watatangaza tu ktk web yao.
tukunyema Member Joined Sep 19, 2013 Posts 28 Reaction score 2 Sep 28, 2013 #4 Dah pole sana!kumbe tumekosa wengi hivi!tusubiri ku-appeal