Kirefu cha CCM ni kigumu kukijua. Chama Cha Majambazi, Chama Cha Mafisadi, Chukua Chako Mapema... nk. Kwa hiyo hayo kila ovu unaloona ni la CCM. Tujiandae kumpokea Rais Mpya baada ya 31.10.2010
Aisee inatisha sana. Hii documentary inabidi kumpelekea Ocampo, yule mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Uhalifu wa Kivita, The Hague, ili amkamate JK na mkewe, Makamba senior, Said Mwema, Pinda, Mwinyi junior, etc.