Yale yale majengo sii ELIMU..Maadam Dodoma ilijengwa kwa malengo ya kuwa makao makuu huwezi kubadilisha Ofisi na makazi ya viongozi kuzifanya vyuo kwa sababu tu ya majengo. Sijui kama viongozi wa Chadema wamewahi kutembelea majengo yale na kuhakikisha yanafaa kuwa shule au vyuo. Hakika inaondoa fikra namalengo ya mwalimu kabisa na haifai kum enzi kwa maamuzi kama haya.
Zaidi ya hapo gharama ya majengo haiwezi kabisa kuchukuliwa kama ni thamani ya ELIMU , tutakuwa tunafanya ya JK na ujenzi wa shule nyingi pasipo walimu na vifaa vya kutosha.
The fact remain, Dar haiwezi kuendela kukua ikiwa makao makuu yataendelea kubakia Dar. Tutayaendeleza ya CCM ambayo viongozi woote na wabunge wameshindwa kuuhama mji kwa sababu ya misheni town zote zipo Dar..