Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Naomba mwenye taarifa, yule mama wa upinzani Chiku Abwao yukowapi jamani?
Mara ya mwisho nilimsikia Iringa huko.
Kama ana mume anisamehe nilikuwa namzimia sana!
Muulize Mrema
Yuko CHADEMA tayari.....
Chiku Abwao ni mjumbe wa kamati ya chadema, makazi yake ni iringa mjini, vile vile anagombea ubunge viti maalum, yuko kwenye mchakato wa kampeni za ubunge iringa mjini akimnadi Mch Peter MsigwaNaomba mwenye taarifa, yule mama wa upinzani Chiku Abwao yukowapi jamani?
Mara ya mwisho nilimsikia Iringa huko.
Kama ana mume anisamehe nilikuwa namzimia sana!