Jamani Crown Athlete ni kali

Athlete upate G-packages

Ni chuma na nusu[emoji91]
 
Mbaya sana aiseee!! unafanya watu wanaogopa vitu vizuri. Tena masikini ata ukimpa Vitz ya cc990 atashusha vioo atakwambia AC inaongeza ulaji wa mafuta.

UMASKINI ni mbaya sanaa
Umenikumbusha kitu..
Siku Moja mtu aamue avae vizuri apendeze then aende show room Kali kuulizia magari ya thamani kubwa...

Kuushitua UMASKINI
 
Nazionaga kama hazina maajabu kumbe ni Gari kali?
 
So mln 11 nachukua gari yangu pale gate no 2 karibu na central police,sasa why huku mitaa unakuta crown namba DAA dalali anauza kwa mln 13!
Hiyo ni bei kabla ya Kodi, jumlisha 5M hapo ya kodi ndio utaichukua getini pale DPW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…