Yes wapendwa nimewapata sana na nawathamini sana,
Kuna njia nyingi sn za kuconstruct CV yako issue kubwa hapa ni vitu gani muhimu employers wanapenda kuona na kwa maana kwamba vinakuuza wewe against other cv.
1. Siku zote usitumie hiyo cv yako moja uliyoandaa miaka kadhaa iliyopita kuombea kila kazi unayoiona, hapana ni kosa lazima cv yako uiedit kulingana na intrest za employer na pia job description. Hiyo ni muhimu sn.
Binafsi huwa natumia format hii hapa;
1. Personal Particulatrs; Nadhani hii inaeleweka
2. Career summary; Hapa unaeleza uzoefu wa miaka/miezi/siku kadhaa uliyonayo katika kufanya kazi mbalimbali in a summary form but exhaustive
3. Employment Records; Hapa unaonyesha what was/is your job decription and show the impact you produced on each job.
4. Academic Qualifications
5. Additional Trainings if any
6. Professional activities done if any, such as reseach/consultancy
7. Key Skills
8. Language
9. References
10. Certification
Nawatakia kila la kheri wakuu.
4.