Jamani cv zenu

Mr KKK

Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
9
Reaction score
2
Hey Guys, tatizo ambalo pia naliona wazi kwa wengi wenu ni namna ya kuandika cv yako ili imvutie mwajiri na pia kushindana katika soko. Hata kama CV yako ni ya page moja hasa kwa wale fresh lakini unaweza iweka vzr,
Please work on that, waajiri wengi nowdays wanaangalia CV hata kabla ya vyeti vyako.
 
sasa kuiweka vizuri ndo unamaanishaje? ungetoa mfano wa kuiweka vizuri
 
kama vp tupia mfano wake tujifunze wengine
 
Mi nadhani siyo CV yake ai-publish hapa just muongozo wake tu mkuu. Kipi kinaanza nakipi kina malizia!
 
Umeandika vema, weka mfano
 
Whats the difference between CV and Resume.
 
Mkuu Mr KKK Weka huo mfano bas tunakusubir hapa,nina barua ndio naiandaa hapa nataka nipate huo mfano niondoe makosa kwenye cv kabla cjapeleka
 
Yes wapendwa nimewapata sana na nawathamini sana,

Kuna njia nyingi sn za kuconstruct CV yako issue kubwa hapa ni vitu gani muhimu employers wanapenda kuona na kwa maana kwamba vinakuuza wewe against other cv.
1. Siku zote usitumie hiyo cv yako moja uliyoandaa miaka kadhaa iliyopita kuombea kila kazi unayoiona, hapana ni kosa lazima cv yako uiedit kulingana na intrest za employer na pia job description. Hiyo ni muhimu sn.
Binafsi huwa natumia format hii hapa;

1. Personal Particulatrs; Nadhani hii inaeleweka
2. Career summary; Hapa unaeleza uzoefu wa miaka/miezi/siku kadhaa uliyonayo katika kufanya kazi mbalimbali in a summary form but exhaustive
3. Employment Records; Hapa unaonyesha what was/is your job decription and show the impact you produced on each job.
4. Academic Qualifications
5. Additional Trainings if any
6. Professional activities done if any, such as reseach/consultancy
7. Key Skills
8. Language
9. References
10. Certification


Nawatakia kila la kheri wakuu.
4.
 
Poa mkuu,ngoja nirekebishe fasta nikatume
 


Asante sana mkuu Mr.KK kwa msaada wako hope itatusaidia wengi.
 
Hapa ndo huwa naifurahia jf.ubarikiwe mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…