Jamani dalili za vidonda ya tumbo ni zipi?

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,739
Reaction score
2,697
Jamani dalili za madonda ya tumbo ni zipi ?

Nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo langu huwa nasikia maumivu sana hata kama nikila chakula bado nayapata maumivu ila kuna muda khali hii hutulia kabisa .
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…