Jamani DEMISS nina rahaaaaaaaaa leoo!

Yaan nikiona demu anatumia pombe,,
 
Maisha Ni yakipumbavu Sana !! Huwezi kuamini Mwisho wa Siku Demiss akawa Mwanaume !! Trust me [emoji701][emoji3596]
Dah like 27 hatimae Nimejizolea Vocha yangu !! Thank you Baby Demiss [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]





Thank you !!! Nimeona Mkono wa Demiss the Boss lady [emoji847][emoji847][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]



Demiss Nlitamani sana Nipate Kanamba chako [emoji3][emoji3][emoji3] ila ulicho kifanya c cha Nchi hii ....Salute [emoji39]
 
Hahahhaha hongera sana mkuu kwa kujinyakulia vocha matata kutoka kwangu kwa sababu nina rahaa nimeamua kuwagaiaa na nyiee raha yanguuu nilichokifanya ni kwa ajili ya usalama wangu wala usijali kuwa na amani comment yako inaonyesha jinsi gani watu wanaamini mm ni mwanaume kumbe mwanamke nimependa hicho ulichokiandika unastahili hiyo zawadi.
 
Kweli shuzi limepata mjambaji? Plz naombeni like nipate vocha nami
Hahahha ungewahi kucomment mbn ungefaidi sna uchoyo mm sema nyie tu mnanizingua
 
Niliwaza ni Vipi naweza kujizolea Like ?! Ndipo nikawaza Vile nikaandika [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…