Jamani dhana hii ni kweli kunako 6*6?

Inawezekana.........kusugua na kutumbukiza, lol. Lazima wote mtoke mmefurahi sio mmoja anune.
kwa wanaume kusugua tu hicho kidude hakuleti utamu bana, mpaka tutumbukize.... or iwe combination ya kusugua na kutumbukiza
 

nimepata kisingizio cha kutafuta nyumba ndogo (just kidding!)
 
cartura i thought you are she bwana kumbe dah! ukwel ni kwamba na hapa am not taking out of ushabiki this thing is subjective. some gelz would like to feel the shit in while others just gentle touch. so yapasa kumjua mwenza wako vizuri zaidi.
 
Last edited by a moderator:
nimepata kisingizio cha kutafuta nyumba ndogo (just kidding!)

na ndio maana a man has to marry at old age than a woman. iko hivi mwanamke miaka 35 hajaolewa hatafurahia tendo la ndoa zaid ya miaka 10 tu, na hii kwake ukiikokotoa vizuri ni miaka 4 tu ndo atakuwa anafurahia hapo umetoa umri wa kuzaa na kulea na siku za period na siku anazochoa while kwa mwanaume wa miaka 35 hadi afike 45 atfurahia miaka 8-9 ukitoa siku za kuchoka.
 
cartura i thought you are she bwana kumbe dah!

teh teh teh, ndiyo uzuri wa camouflage ya JF huo, unaweza kukutana na kisiki cha mpingo hivi hivi bila kutarajia

this thing is subjective. some gelz would like to feel the shit in while others just gentle touch

mwalimu, is it true kwamba some gals hawa-feel likitumbukizwa... but every tom, dick and harry is doing just that....
 
Last edited by a moderator:

ndiyo, na kwa studies zinaonyesha wanawake 87% huwa hawaenjoy penetration, wao wanapenda tu huko kushikwa hadi afikie climax. sasa pana pia kuna kitu ambacho wanaume wengi hawajakijua miongoni mwa wanawake. wanawake wengi has wa kiafrika hawako huru kunako 6*6, sababu kubwa ni kwamba wana aibu so ukiwa unakiss au hata kumtekenya huko huwa anaona aibu na kuforce umfanyie penetration. kwani anajua atleast wewe ukimaliza basi yeye hana neno.

hii ni proved wa watu ambao walishirikishwa kwenye hii study na ndio maana wanawake wengi huwa wana fake orgasm tu. ila spare your time do romance hadi afike kabisa ndipo uanze penetration.
 
hahahahahahaaaaaa naskia raaaaaha utaaaaaaaaaaaaaaamu, utaaaaaaaaaaaaaaaam raha....mada hzi mnachangiaaaa ila mada za ,maana hamtaki kuchangia. kila mtu hapa anashusha uzoefu mpaka wengine kutoa ushuhuda wa kusisimkwa vinyweleo lol
 
hii ni proved wa watu ambao walishirikishwa kwenye hii study na ndio maana wanawake wengi huwa wana fake orgasm tu. ila spare your time do romance hadi afike kabisa ndipo uanze penetration.

wow, whoever said knowledge is power could not have been more correct.... but then yeye akifika ndiyo wewe u-penetrate si ndiyo ataanza kusoma gazeti la udaku sasa coz hana tena msukumo wa kumfanya ashiriki actively?
 
Utamu ni kukojoa/orgasm tu. Sasa ili ukojoe/ufike kileleni manjonjo gani yametumika hayo mambo mengine sasa na hapo ndipo penye mpagawisho. Ukikutana na mtoto wa kimakonde utakuchezeshea mauno kwanza anakuinua uchungulie dirishani umtajie umeona nini nje, akikushusha anakupeleka tena mara ya pili umsonye unayemuona nje akikushusha mambo tayari.
 
wow, whoever said knowledge is power could not have been more correct.... but then yeye akifika ndiyo wewe u-penetrate si ndiyo ataanza kusoma gazeti la udaku sasa coz hana tena msukumo wa kumfanya ashiriki actively?

wala haiko hivyo kaka. wataalamu wa masuala ya mambo ya tend la ndoa huwa wanashauri hata kama mwanamke ataanza kukojoa kwanza hakumzuii kuendelea na sebene kama ilivyo kwa wakaka na hii inatokana na ukweli kwamba , mwanamke viungo ninavytumika katika tendo havina physical strenght kama vya mwanaume. anyway check pm
 


wewe umesema vizuri sana hakuna tofauti ya extent ya pleasure wakati wa majamboz kati ya ukifanya na patna A au B kama wote watakufikisha kunako climax. tofauti ni njia gani umetumika kukufikisha basi.
 
assuming that all those factors are kept constant is there any difference from pleasure attained at climax from one person to another?
Utamu unatofautiana ndugu.
Wapo wadada kunako majambo ni typically "GOGO", unaanza mpaka unamaliza anakuangalia tu.

Tukubaliane tu mautundu nayo yanatofautuana kati ya mtu na mtu, na ni factor muhimu sana kiasi cha kwamba can't remain constant as u suggested.
 
Kuna ukweli mkubwa,kuna wanawake wanajua kuutumia mwili wao inavyotakiwa.Sio unado na mtu amelala tu anakukodolea mimacho hata ile sauti ya raha wakati msumari unaingia hakuna.Wanawake wengine ni noma,yani unaweza kupiga hata bao 8!Utundu wake,msumari ukiingia namna anavyoubana wacha kabisa,yani unaweza uzungumze lugha usiyoijua.Hivi unafikiri kwanini nimefall kwa Kaunga?Yaani acha kabisa!Huyu mwanamke alifundwa bana. . . Ni mtam balaa. . Lol!
 

Kaunga...........come and see this, my good lord!!!!!! you are the most luckiest women in this world dah! Eiyer i wish i knew you before her perhaps we would have made a couple. but real i know kaunga she is extremely good in whatever you can think and as i know you the infedelity blah blah are not your shit. so hope you do it good
 
Last edited by a moderator:
wewe umesema vizuri sana hakuna tofauti ya extent ya pleasure wakati wa majamboz kati ya ukifanya na patna A au B kama wote watakufikisha kunako climax. tofauti ni njia gani umetumika kukufikisha basi.
Haiko hivyo mkuu,
Kushiba utashiba tu Kama ukichagua kula ugali, wali, ndizi, kande, pilau, mihogo e.t.c

Na hata ukiamua kukaa mezani, mkekani, kigodani, chini, still bado utashiba tu.

Kama utaamua kusukumizia juice, maji, soda, utashiba tu napo pia.

Na hata ukiamua kula kwa mama ntilie, Nyumbani, hotelin, Kama hela ipo utashiba tu.

Kama lengo ni kushiba (climax) utashiba tu.
But umepitapita wapi mpaka ukashiba ndio issue.

Unaweza ukashiba sawa, lakini kwakua chakula chenyewe ni makaroni imebidi ule mengi sana so umetumia nguvu sana.

Pia unaweza ukashiba kwa kula chakula kigumu ukaishia kuchubuka mdomo!!

Taste zinatofautiana kati ya mtu na mtu, although wote kileleni utafika!!!
 
Shark mimi nafikir utamu hautofautian ila utundu tu. mathalani mtu kama miye kunako 6*6 lazima mimi kwanza nikifika sasa nianze na wewe nyuz 360 plus warmth kisses and na migumo kidogo ya kidigo lolest lazima upige za kwako 6 at minimun. (siyo matangazo jamani ni mfano tu). Lakin yote hayo huwa yanategemea utundu tu na quality of pleasure inabaki vilevle kama yule wa gogo ambaye amefanikiwa kukuhifadhi jotoni kwake hadi ukakojoa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…