Jamani diploma muhimbili.

Jamani diploma muhimbili.

minagirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
269
Reaction score
35
Habari zenu wakuu,

naomba mwenye taarifa za lini muhimbili watatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na diploma mbalimbali anijuze coz mdogo wangu kaomba pale na majina hayajatoka wakati first year wanatakiwa waripot tar 30 mwez huu so nashindwa kuelewa inakuwaje. Mwenye taarifa yoyote please nijulishe
 
majina yashatoka yanapatikana kwenye notes board pale main campus tangia ijumaa ya tarehe 20 mwezi wa 9! first year wanafungua chuo tarehe 14 mwezi wa 10
 
watabandikaje noticeboard,ina maana waliochaguliwa ni wa udsm tu.waweke net
 
mbona majina yameshatoka since last friday ndugu? tembelea website yao.
 
Back
Top Bottom