Habari zenu wakuu,
naomba mwenye taarifa za lini muhimbili watatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na diploma mbalimbali anijuze coz mdogo wangu kaomba pale na majina hayajatoka wakati first year wanatakiwa waripot tar 30 mwez huu so nashindwa kuelewa inakuwaje. Mwenye taarifa yoyote please nijulishe