Jamani duniani kuna mambo!! Hii imenitokea

Baadae utatembea na wafanyakazi wote kwenye hiyo kampuni na ukimega kidosho cha bossi kazi huna

Huo ni ushauri bora kabisa, kwani kuwa na mahusiano na mtu hadharani ni tatizo? Labda kama mnawatu wenu wengine. Kama hakuna uhusiano wowote na mtu mwingine mwache apayuke kwani ajabu. Halafu chunguza nyendo za huyo rafiki yako, pengine wanamchezo mchafu..
 
ningesema kuna mzuzu unautumia kuwapata hao wanawake but labda unawakamua vizuri..HONGERA..we wachape wote tu mradi unatumia ndomu!!
 
The song I dedicate; Single boy Ali Kibba feat JayDee
 
kaka, achana na wote. ukimmega na huyo wa pili atamsimulia wa kwanza. af utaanzisha bifu kati yao, mpaka bosi wenu atajua na ndo ushakosa kupanda cheo. (boss gani anapenda wafanyakazi wazinifu?). huyo wa kwanza usimwambie kuwa unamtosa, we kausha kiaina na uwe bize na mambo yako.
 
inawezekana wewe ni muhongaji mzuri kwa hyo wameambiana wakuchune wakija waimbie ule wimbo wa chop my money.
 
Achana na wote wawili kama wameshakutongoza na kumpa mmoja wao, watakuja lukuki hapo ofisini.
Kuwa makini lakini maana ukimwi waua!!
 
Kandamiza, eboooo. demu anakuja halafu unadengua!!! wahenga hawakukosea waliposema, kwenye miti.....
 

Kuwachanganya changanya watu kwenye taasisi au kampuni moja sio vizuri kazi huwa zinaharibika hivi hivi
 
Ningekuwa wewe ningewachapa woote . Tena Huyo wa huyo angekupa kila siku ukitaka maana u hold tha ace. Hatathubutu kumhadithia wa kwanza wala rafiki yake mwingine maana akifanya hivyo ataogopa utapewa kama alivyokupa wewe. ndiommabo ya mujini.
 
Tatizo nini kijana? Wa kwanza alikuwa mwanamke na wa pili ni mwanamke wala hujatwambia tatizo lake. Kama ulifanya mchezo kwa mwengine basi endeleza na kwa huyu na akija mwengine pia. Tatizo ni pale watakapoanza kutowa masharti kwahuduma yako! Kama si hivyo jiangalie uwezo wako wa kuwahudumia basi.
 
Inawezekana mwanzisha mada anazungumzia shule na sio kazini.
Anawazungumzia wanafunzi wenziwe na sio wafanyakazi wenziwe.
Itakuwa ni typing errors tuu.
 
Mmmh nivizuri nikauliza umri wako kwanza kabla sijatia neno ndugu...
 



Funga zip yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…