Jamani duniani kuna mambo!! Hii imenitokea

Waache wote!sijaona wa maana hapo wanawake gani wana jirahisisha hivyo?tupa kule!
 
achana nao,nenda kampime na kama vp oa naona libido iko juu
 

huyo wa kwanza unasema siku moja alikupitia, je mlikuwa mnataka kwenda wapi?? na je mlienda?
 
makubwa;we unajisikiaje kwanza juu ya hao wote wawili?
 
simpo tu! piga chini wote, komaa na kazi usijirahisi kwao
 
Ila wewe kaka mi nawasi wasi na utulivu wako...Kama mwanaume lazima uwe na maamuzi ya busara..Sasa wewe ukichekewa chekewa tuu unapagawa!! Angalia hii dunia usije ukaishia pabaya.. JIFUNZE KUSEMA NOOO....
 
hakika mtu mwovu ikujumishi mzinzi/muasherati kama wewe hatakosa adhabu na adhabu yako usipotubu utakweda zako jehanum ya moto Ufunuo 21.8
 
Abiria chunga mzigo wako ukimwi unaua?!!!........:A S 12:
 
Kwa staili hiyo, hio chain itakuwa ndefu sana. Just sayin'
 
wanawake ndio walivyo wengi wao ni vicheche sana haswa maofisi kuna vituko kama nini yaani unaweza kuta wameolewa lakini wanachokifanya ni cha kitoto kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…