BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Kwa kweli muda umefika na sie wa kuchagua tunavyovitaka, sio kila siku kuchaguliwa tu kama karangaduh,mpango ninao though sidhani kama ni priority.....mi ntaka kununua dearest,sitaki kununuliwa....hata mi bado nahesabu,na u sweet 16 wangu bado mchanga kabisa....l.o.l
Mmmmhhh!!! Unajitafutia matatizo wewe kila la heri bana
Utanasa, shauri yako vitu vingine huwa havionjwi na mpishi anakisia tuTuonje kwanza . . .
Saaly wala usiwe na hofu, jitunze na endelea kumuomba Mungu,wakati ukifika atakuwa mnunuzi wa daima. Jifunze kutokana na yalipota na endelea kujipenda na kujitunza....ipo siku utajibiwa sala zako.....Mungu hawahi wala hachelewi. Usiharakishe ukatumbukia kwa vimeo,kuwa na subira na take your time,life is short by the way!!!:A S-rose:
Tuonje kwanza . . .
Tangaza hivi: Buy 2 and get one for freenatafuta mnunuzi wa jumla wa bidhaa yangu jamani,sitaki kuamini itabaki imedoda:dance::dance::biggrin1:
what is that one?Tangaza hivi: Buy 2 and get one for free
It's a special gift for buying those two, so it will remain as a secretwhat is that one?
Tuonje kwanza . . .
natafuta mnunuzi wa jumla wa bidhaa yangu jamani,sitaki kuamini itabaki imedoda:dance::dance::biggrin1:
Saaly nani kakukopa tena? nije nimsaidie kulipa deni
Wholesale Businessunazungumzia nini?
Wholesale Business