stevelwa
Member
- Nov 2, 2012
- 72
- 20
Wadau wangu na wataalamu kiukweli jukwaaani hapa pamekuwa mahali kwangu pa msaada kwa muda mrefu sana kwa\ baadhi ya mambo ninayojionea humu, leo wakuu nimekuja na jambo la ndevu kwa wadada na huku nilipo si kijijini wala mjini naona linaota mizizi,sasa inakuaje jamani tafadhali nisaidiwe ingawa mimi si mhanga wa hilo ila ni mwanahakati wa kiafya kwaiyo napambana huku kijijini wadau. tafadhalini okoeni jahazi, kwa wale waliota na pia kwa nyakati hizi nini kinga zake? tayari huko mijini kuna dawa ambayo imethibitishwa na haina side effect? naomba kusaidiwa.