kelvin miho
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 281
- 134
CHEMSHA BONGO
Ktk Dunia Hii Kila Ktu Kina Majina 2.
Kwa mfano:
Kuku Dume anaitwa JOGOO.
Bata Dume anaitwa GEGEDU.
Ng'ombe Dume anaitwa FAHALI.
Mbuzi Dume anaitwa BEBERU.
Kondoo Dume anaitwa FULATA.
Binadamu wa Kiume anaitwa MWANAUME.
Je, PAKA DUME Anaitwaje?
Ukijibu nakutumia kuku
Ukikosa
Share kwingine hadi jibu lipatikane.
Nb
Veda marwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk Dunia Hii Kila Ktu Kina Majina 2.
Kwa mfano:
Kuku Dume anaitwa JOGOO.
Bata Dume anaitwa GEGEDU.
Ng'ombe Dume anaitwa FAHALI.
Mbuzi Dume anaitwa BEBERU.
Kondoo Dume anaitwa FULATA.
Binadamu wa Kiume anaitwa MWANAUME.
Je, PAKA DUME Anaitwaje?
Ukijibu nakutumia kuku
Ukikosa
Share kwingine hadi jibu lipatikane.
Nb
Veda marwa
Sent using Jamii Forums mobile app