kama hujui pita kimya kimya na wewe!!!
kama hujui pita kimya kimya na wewe!!!
sema mwaya....
NN ni mkwe wangu kwa mwanangu wa mwisho,hivyo tunataniana.
Forex Trading is trading currencies from different countries against each other. Forex is acronym of Foreign Exchange. For more info:- What is Forex Trading - An Introduction to Forex Trading
word of caution this is not for the faint hearted.., come easy go easy.., kama unavyoweza kupata pesa nyingi ndivyo unavyoweza kupoteza pesa nyingi pia (this is more like gambling) unapredict pesa ya nchi fulani kwamba itapanda kwahio unanunua ili ikipanda uuze upate profit.. utamu ni pale itakaposhuka badala ya kupanda π
No guarantee you can end up more broke and penniless.. ila just for fun kuna sites nyingi you can play the game just for fine without really investing.. pia kufanya forex trading sio lazima uwe nje ya nchi you can be anywhere in the world just trading using credit cards and the likes
hapo juu kwenye bango la jamii forums,siku hizi kuna matangazo mengi,mojawapo ni la oxforo....forex,naomba anayejua kuhusu hii foreign currency trading unavyofanya anifundishe,au kama kuna course mahali wanatoa kuhusu hii kitu aniambie,na mie nataka kutengeneza pesa......leo nimeona kny yahoo news mkaka anaitwa alex hope alikuwa mkaka wa matanuzi,kakamatwa ila anadai kazi halali anayofanya nii hii forex trading......so na mie nataka nitengeneze pesa...niko tayari kusafiri,ila sio nje ya hapa nilipo....
thanks in advance.:yell::yell::disapointed:
asante mwaya,na mtu anaweza akaanza kuinvest na hela kidogo?? au lazima uwe na mamilion? maana sina hela ila nataka kutengeneza pesa....π
Jukwaa la mapenzi .... Unataka kusafiri lakini sio nje ya ulipo .... unataka kutengeneza pesa .... huna mtaji wa pesa za kuanzia ....
Jestina nikiunganisha hizo dots, akili yangu inakuelewa tofauti sana. Unaniruhusu nitafsiri hii ndoto?
unaweza ukaanza na hata 100usd, njia rahisi kuna sites ambazo unajiunga unakuwa member (hao ndio wanakuwa brokers wako) wewe ukinunua currency kutoka kwenye site yao (by just a clicking a mouse) ila kama nilivyosema uwezekano wa kutengeneza pesa unaendana na kupoteza pesa, ndio maana nikashauri hizi websites huwa zina demo yaani unaanza ku-trade bila kutumia pesa (just as a game) hapo kweli ndio mwisho wa siku utajua if this is for you.., sababu wengine inakuwa kazi kulala huku ukijua kuna kama laki tano zako ambazo kesho zitakuwa milioni moja au zitakuwa sifuri..
Waweza kupata pressure bure !!!
kama ni hivyo naweza nikafford,ila mie nasuffer panick attacks,sijui km nitaweza......nikipata mtu wa kunifundisha cha kufanya one to one tution,naweza nikajaribu lol...Thanks kwa mchango wako.