wakuu... habari zenyu? ningependa kujua hasa kwa kina juu ya hawa ma member wenzetu.. oil sumu na mpigamsuli je ni watoto wa kike au vipi? kwa kweli nimekuwa sointerested sana na story zao pamoja na thread wanazozitoa.. ningekua na kikundi cha taarabu, ningewapa tender..! sumu tamu
ujue huyu jamaa sumu tamu ananchafua sana cjui n nan by oil sumu