Kuna mkoa mmoja nimeenda nikakuta kuna watu wanafundisha watu wanaotafuta CPA lakini hao walimu wenyewe hawana CPA, inakubalika hii? Au kama mtu amesoma finance anaijua vyema anaweza kufundisha? au kama mtu ana postgraduate ya taxation anaweza kuwa anafundisha somo la kodi hata kama hana CPA?
wadau mi sielewi, naomba kufaamishwa!

Haiwezekani kabisa kitu kama hiyo, na hiyo review ni ya kijinga kabisa. Kama anaweza kufundisha si afanye mitihani hiyo apate hiyo CPA? Hoja si kufundisha hoja ni vigezo vya kufundisha watu huo.
Haiwezekani kabisa kitu kama hiyo, na hiyo review ni ya kijinga kabisa. Kama anaweza kufundisha si afanye mitihani hiyo apate hiyo CPA? Hoja si kufundisha hoja ni vigezo vya kufundisha watu huo.
hebu acha kubaishwa ni ni hivi sifa za kufundisha cpa ni hizi
1.uwe na cpa
2.uwe na masters au degreee
wanaofundisha cpa wakati wao hawana ni kuwafelisha wanafunzi ndo maana cpa inakuwa ngumu kutokana na walimu vilaza kama
hawa ndo maana matokeo ya cpa yanakuwa mabaya
Uko sawa kabisa . ssi wakati tunasoma DSA mwaka 1980 tulikuwa tunafundishwa na baadhi ya waalimu wazuru lakini walikuwa hawajamaliza CPA zao wakati huo kulikuwa na Part I na II na waliowawafundisha walifauru sana na mmoja alikuwa akiendelea na kuresit somo alilokuwa hajalimalizia. Kwa mitihani ya CPA ni kupata uelewa jaribu past papers na baadae ujipime kwenye mitihani ya NBAA. NBAA hawana waalimu na wala hawakatazi kama Mtu ambaye hana full CPA asifiundishe masomo yaliyo kwenye syllabus yao.Inasikitisha sana kuona kuwa wengi hatujui elimu fulani inapatikanaje.
Ili upate cheti cha CPA ni lazima usome masomo kadhaa. Kila somo linatakiwa lifundishwe na mtaalamu wa somo hilo mfano: mtaalamu wa Quantitative Techniques (QT) si lazima ajue Financial Accounting, Auditing au Financial Management. Mtaalamu wa Taxation sio lazima awe mtaalamu QT.
Ili upate CPA, lazima ufaulu masomo hayo hapo juu. Mara baada ya kufaulu na kupata CPA, wengi hupata kazi za uhasibu wala hawaendi kuwa waalimu na hata wakienda kufundisha watakimbilia yale ya kihasibu sio QT na IT. Je haya yatafundishwa na nani kama tunataka wawe na CPA?
La muhimu kila somo lifundishwe na mwalimu anayelijua vizuri. Mleta mada jiangalie uwezo wako