Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana mkuu,
mie mpaka sasa hiv sijalipwa (kada nyingine)
Nikweli kabisa kuna walimu wengi eti computer imeruka majina yao,kwahiyo yawezekana huyo ni mmoja wao muvumilieNisaidieni maana kuna mheshimiwa mmoja namdai ss haeleweki kabisa sijui tatizo nn maana anadai eti mshahara bado?
kama kuna mwalimu hapa hebu anisaidie approval hii ishu!!!
Nisaidieni maana kuna mheshimiwa mmoja namdai ss haeleweki kabisa sijui tatizo nn maana anadai eti mshahara bado?
kama kuna mwalimu hapa hebu anisaidie approval hii ishu!!!