Jamani eti ni kweli Walimu hajalipwa Mishahara?au napigwa chenga tu????

cement

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
581
Reaction score
218
Nisaidieni maana kuna mheshimiwa mmoja namdai ss haeleweki kabisa sijui tatizo nn maana anadai eti mshahara bado?
kama kuna mwalimu hapa hebu anisaidie approval hii ishu!!!
 
inawezekana mkuu,
mie mpaka sasa hiv sijalipwa (kada nyingine)
 
Nisaidieni maana kuna mheshimiwa mmoja namdai ss haeleweki kabisa sijui tatizo nn maana anadai eti mshahara bado?
kama kuna mwalimu hapa hebu anisaidie approval hii ishu!!!
Nikweli kabisa kuna walimu wengi eti computer imeruka majina yao,kwahiyo yawezekana huyo ni mmoja wao muvumilie
 
Cement wafanyakazi wa serikali hatujalipwa mshahara sijui kwa nini.
Nisaidieni maana kuna mheshimiwa mmoja namdai ss haeleweki kabisa sijui tatizo nn maana anadai eti mshahara bado?
kama kuna mwalimu hapa hebu anisaidie approval hii ishu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…