Jamani familia imeparaganyika ushauri tafadhali!!!!!!!!!!

Jamani familia imeparaganyika ushauri tafadhali!!!!!!!!!!

mchambakwao

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
77
Reaction score
14
Habari zenu wakuu!
Tumezaliwa wanne kwa mama mmoja,baba tofauti.Wavulana wawili,wasichana wawili.Mama amefariki,ameacha pesa na nyumba pamoja na kiwanja.Pesa imegawanywa kwa kufuata sheria za mirathi mahakamani,mvulanammoja na msichana mmoja kati ya watoto hao wametapeliwa na sasa wameishiwa.Msichana mmoja ametunzwa kwa pesa hizo zake za urithi hadi kufikisha umri wa miaka kumi na minane hii ni baada ya miaka mitano tangu mama afariki.Sasa,yule msichana aliyetunzwa kwa pesa zake miaka mitano iliyopita ameibuka mahakamani anataka pesa zake kama zilivyo tangu alipoambiwa mahakani haki yake ya urithi miaka mitano iliyopita,nifanyeje? Ndg vigeugeu,najuta sijui nimetoka wapi.
NB: Kila mtu ana Baba yake ila mama mmoja na ameshafariki!
 
hizo pesa we ndo ulikua unazidroo benki au ye mwenyewe maana nijuavyo mimi pesa za mirathi huwa zinawekwa kwenye akaunti,na kama ni wewe hizo pesa ulizitumia kumfanyia nini chenye manufaa kwake eg.kumsomesha nk then ntarudi
 
Back
Top Bottom