Matingi litikiti
Member
- Apr 26, 2016
- 64
- 25
Dah kaka@Waikoru c uniambie jina la hiyo dawa ninunue nipone ndg?Pole kiongozi ....hiyo ni ajali kazini....
Nenda hospitalini kuna dawa flani hivi (nmeisahau jina?)..utachomwa afu maisha yataendelea...bei ya hiyo tiba ni kama elfu kumi hivi.....
Maku tamu sana hatuwezi kuacha eti kisa kisonono..Ukipona unaendeleza gem......kwetu sisi hiyo ni ajali kazini....
mkuu nipo bize kutafta jina lake..Mda si mrefu ntakuja hapa nkujulishe...pole kwa masaibu yaliyokukuta mkuu....Dah kaka@Waikoru c uniambie jina la hiyo dawa ninunue nipone ndg?
Umevuna ulichopanda! Furuahia mavuno hayoo! Khaa! Uliambiwa ukivumilia hizo siku mkeo hayupo hilo lidushe lingekatika??mfyuuu! Mwambie mkeo samahani mke wangu nilichepuka nimeathirika nipo kwe dozi usikilizie maumivu yake! Katubu hukoo!
Aisee...!Pole kiongozi ....hiyo ni ajali kazini....
Nenda hospitalini kuna dawa flani hivi (nmeisahau jina?)..utachomwa afu maisha yataendelea...bei ya hiyo tiba ni kama elfu kumi hivi.....
Maku tamu sana hatuwezi kuacha eti kisa kisonono..Ukipona unaendeleza gem......kwetu sisi hiyo ni ajali kazini....
Piga ppf injection inayoitwa panadul, ina nguvu inabidi ule. Gharama yake ni chini ya elfu kumi. Nenda dispensari yoyote na aibu kwa mke wako itasitirika
Asante kwa kutoa ushauri murua kwa huyu jamaa!!!!..
hiyo dawa huenda ndo nlikuwa naiulizia jina lake....imewahi kunisaidia sana!!!!
sindano mbili za ukweli ..inabidi ushibe kwanza...ndo wakuchome...tena matakoni kabisa....ndo dawa inafanya kazi vizuri...
Pole kiongozi ....hiyo ni ajali kazini....