VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
CHETI CHANGU CHA FORM FOUR HEAD MASTER WANGU KAKIUZA! Nimeshauriwa NIENDE NIKAMCHULIE RB! Sasa KABLA YA KWENDA POLISI NI VYEMA MNISAIDIE MAANA YA RB? NAWAOMBENI SANA WADAU MSAADA WENU!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli unahitaji msaada kama hata rb huijui?
RB. Report Book,au kitabu cha taarifa. baada ya kuandikisha maelezo ktk kitabu kilichopo mapokezi polisi. unapewa kikaratasi kiricho andikwa MF. RB/08/2014/KIRUMBA. ndiyo namba ya jarada lako polisi. sijui umenipata hapo?
rb. Report book,au kitabu cha taarifa. Baada ya kuandikisha maelezo ktk kitabu kilichopo mapokezi polisi. Unapewa kikaratasi kiricho andikwa mf. Rb/08/2014/kirumba. Ndiyo namba ya jarada lako polisi. Sijui umenipata hapo?
RB ni rice n beans mkuu
wewe katoe taarifa polisi wao watakuelekeza cha kufanya, kujua maana ya rb hakutasaidia lolote.
CHETI CHANGU CHA FORM FOUR HEAD MASTER WANGU KAKIUZA! Nimeshauriwa NIENDE NIKAMCHULIE RB! Sasa KABLA YA KWENDA POLISI NI VYEMA MNISAIDIE MAANA YA RB? NAWAOMBENI SANA WADAU MSAADA WENU!
hii ndo ishara tosha kuwa elimu ya bongo haimsaidii mtu kujitegemea katika maisha ya kawaida,huyu kamaliza kidato cha nne bila shaka kafaulu vizuri hadi cheti chake kuuzwa. Kwetu elimu imebaki kufaulu mtihani na hiyo division 5 si itakuwa balaa zaidi?
Haya ndugu, au hapa tatizo ni lugha inayotumika ya ufupisho?
Rb (report book?,kisheria hutolewa na polisi pale mapokezi,baada ya mlalamikaji kutoa maelezo yake,hutumika kama kumbukumbu ya taarifa ya tukio flani,kimsingi polisi ndo wenye wajibu wa kumtafuta na kumkamata mtuhumiwa,kwa kutmia maelezo ulotoa kama sababu ya kumkamta. Huwez wewe kwenda kumkamta mtuhumiwa wako kwan unawez kuhatarisha maisha yako.ukiona polisi anakwambia haya nenda ukamlete mtuhumiwa ujue anakiuka sheria.
Swali langu ni hili umejuaje kama mkuu wako wa shule kauza cheti chako ? Njia bora zaidi ingekuwa kumshitaki ulomkuta na cheti chako.