hii ndo ishara tosha kuwa elimu ya bongo haimsaidii mtu kujitegemea katika maisha ya kawaida,huyu kamaliza kidato cha nne bila shaka kafaulu vizuri hadi cheti chake kuuzwa. Kwetu elimu imebaki kufaulu mtihani na hiyo division 5 si itakuwa balaa zaidi?
Haya ndugu, au hapa tatizo ni lugha inayotumika ya ufupisho?
Rb (report book?,kisheria hutolewa na polisi pale mapokezi,baada ya mlalamikaji kutoa maelezo yake,hutumika kama kumbukumbu ya taarifa ya tukio flani,kimsingi polisi ndo wenye wajibu wa kumtafuta na kumkamata mtuhumiwa,kwa kutmia maelezo ulotoa kama sababu ya kumkamta. Huwez wewe kwenda kumkamta mtuhumiwa wako kwan unawez kuhatarisha maisha yako.ukiona polisi anakwambia haya nenda ukamlete mtuhumiwa ujue anakiuka sheria.
Swali langu ni hili umejuaje kama mkuu wako wa shule kauza cheti chako ? Njia bora zaidi ingekuwa kumshitaki ulomkuta na cheti chako.